Feel The Freedom!!
Karibu Pokofame.forumotion.com

Tafadhali Log in au Register kama ni mara yako ya kwanza hapa.

Registration huchukua si zaidi ya sekunde 30

Karibu!!!
Feel The Freedom!!

Let's Discuss Openly and Freely, Any Matter Any Topic Any Discussion, Coz You are What You Think!

Tunahitaji Moderators kwa ajili ya kumoderate forums zetu, Ni rahisi kuwa moderator, alika marafiki kujiunga na forum hii na wanapofika marafiki 20 walioalikwa nawe, basi automatically utakuwa na mandate ya moderation katika forums zetu. Karibu
Kuwa Huru, Kwani Uhuru Ni Wako Sasa! Anzisha Mijadala, Changia Hoja, Pata Habari, Elimika na Burudika. Lets Talk Freely on Pokofame.forumotion.com

You are not connected. Please login or register

Siri ya Lipumba Kuvua Madaraka Yavuja

Go down  Message [Page 1 of 1]

1 Siri ya Lipumba Kuvua Madaraka Yavuja on Fri Aug 07, 2015 5:38 am

Admin

avatar
Admin
Baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Bw. Lipumba kubwaga manyaga siku ya jana, siri nzito imevuja ndani ya chama hiko ikidaiwa kwamba Mheshimiwa huyo ana mpango wa kukihama chama hicho alichokiongoza kwa miaka 16.
    Chanzo kimeendelea kutanabaisha kwamba  kinachomfanya Lipumba achelewe kufanya maamuzi ni ukimya wa mwenza wake katika siasa Dkt Slaa, hiyo inatokana na ukaribu waliojijingea hivi karibuni kupitia ukawa.

Tutaendelea kujuzana kadri chanzo kinavyozidi kutia maguu.

View user profile

Back to top  Message [Page 1 of 1]

Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum